Kuna mambo mengi Sana unatakiwa uyafanye ili kutimiza Kusudi la kuumbwa kwako bro, Mungu tayari alikwisha kupa thamani kubwa na ipo ndani yako Cha msingi Ni wewe kuijua ili kuishi katika viwango vya juu vya thamani alivyokupangia uviishi,
Cha ajabu na Cha kushangaza pamoja na kuumbwa na thamani kubwa ndani