maisha Mambo 3 Muhimu ya Kuzingatia kwenye maisha Katika maisha ya mwanadamu Yapo Mambo mengi ambayo huvuta umakini wa Kila mtu,Miongoni mwa Mambo hayo yapo Mambo matatu ambayo kutokana na takwimu za utafiti nilioufanya yameshika na kukamata hatamu ya umakini wa maisha ya mwanadamu. Mambo haya matatu yamepelekea kuwepo na matapeli wengi Sana katika nchi mbalimbali Tena
maisha Wake Up Call Kuna mambo mengi Sana unatakiwa uyafanye ili kutimiza Kusudi la kuumbwa kwako bro, Mungu tayari alikwisha kupa thamani kubwa na ipo ndani yako Cha msingi Ni wewe kuijua ili kuishi katika viwango vya juu vya thamani alivyokupangia uviishi, Cha ajabu na Cha kushangaza pamoja na kuumbwa na thamani kubwa ndani
maisha Featured Usikate Tamaa Wakati Fulani katika maisha Kuna Hali napenda kuiita family poverty cycle,kipindi kisicho na mafanikio kwa familia nzima au ukoo mzima. Yaani unakuta familia nzima au ukoo mzima wanapambana Sana lakini hakuna mtu hata mmoja katika ukoo au familia anayevunja wigo wa mafanikio ambao umekuwepo. Kama walikuwa ni masikini Basi