Yuris Dutch Blog
  • Home
  • About
  • Wakala wa Vitabu
  • book: kwanini hauanzi
  • facebook
Sign in Subscribe

maisha

A collection of 3 posts
Mambo 3 Muhimu ya Kuzingatia kwenye maisha
maisha

Mambo 3 Muhimu ya Kuzingatia kwenye maisha

Katika maisha ya mwanadamu Yapo Mambo mengi ambayo huvuta umakini wa Kila mtu,Miongoni mwa Mambo hayo yapo Mambo matatu ambayo kutokana na takwimu za utafiti nilioufanya yameshika na kukamata hatamu ya umakini wa maisha ya mwanadamu. Mambo haya matatu yamepelekea kuwepo na matapeli wengi Sana katika nchi mbalimbali Tena
26 Aug 2022 3 min read
Wake Up Call
maisha

Wake Up Call

Kuna mambo mengi Sana unatakiwa uyafanye ili kutimiza Kusudi la kuumbwa kwako bro, Mungu tayari alikwisha kupa thamani kubwa na ipo ndani yako Cha msingi Ni wewe kuijua ili kuishi katika viwango vya juu vya thamani alivyokupangia uviishi, Cha ajabu na Cha kushangaza pamoja na kuumbwa na thamani kubwa ndani
26 Aug 2022 1 min read
Usikate Tamaa
maisha Featured

Usikate Tamaa

Wakati Fulani katika maisha Kuna Hali napenda kuiita family poverty cycle,kipindi kisicho na mafanikio kwa familia nzima au ukoo mzima. Yaani unakuta familia nzima au ukoo mzima wanapambana Sana lakini hakuna mtu hata mmoja katika ukoo au familia anayevunja wigo wa mafanikio ambao umekuwepo. Kama walikuwa ni masikini Basi
26 Aug 2022 3 min read
Page 1 of 1
Yuris Dutch Blog © 2025
Powered by Ghost